Ufafanuzi msingi wa korosho katika Kiswahili

: korosho1korosho2

korosho1

nomino

  • 1

    mbegu ya bibo itokanayo na mti wa mkorosho.

Asili

Kre

Matamshi

korosho

/kOrOʃO/

Ufafanuzi msingi wa korosho katika Kiswahili

: korosho1korosho2

korosho2

nomino

  • 1

    pambo lililotokeza kwenye usukani wa mtepe.

Matamshi

korosho

/kOrOʃO/