Ufafanuzi wa kosi katika Kiswahili

kosi

nominoPlural makosi

  • 1

    chuma au kamba inayokuweko ubavuni mwa chombo ili kuvutia kasia.

Matamshi

kosi

/kOsi/