Ufafanuzi wa koti katika Kiswahili

koti

nomino

  • 1

    vazi zito livaliwalo juu ya nguo k.v. shati au kanzu.

Asili

Kng

Matamshi

koti

/kOti/