Ufafanuzi wa kotia katika Kiswahili

kotia

nominoPlural makotia

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    jahazi lenye milingoti miwili na shetri yenye kizingiti cha juu na pia shetri inayoinama.

Matamshi

kotia

/kOtija/