Ufafanuzi wa kotmiri katika Kiswahili

kotmiri, kitmiri

nomino

  • 1

    majani ya mgiligilani yanayotumika kuwa kiungo katika upishi wa nyama, samaki, mboga au kachumbari.

Asili

Kar

Matamshi

kotmiri

/kOtmiri/