Ufafanuzi wa kotwe katika Kiswahili

kotwe

nomino

  • 1

    bata mwenye baka jeupe mgongoni; bata mwitu.

    salili

Matamshi

kotwe

/kOtwɛ/