Ufafanuzi wa kreni katika Kiswahili

kreni

nomino

  • 1

    winchi ya kuinulia mizigo au vitu vizito.

    kambarau, manjanika, winchi

Asili

Kng

Matamshi

kreni

/krɛni/