Ufafanuzi wa krimu katika Kiswahili

krimu

nominoPlural krimu

  • 1

    aina ya malai inayoliwa ambayo inatokana na maziwa au mchanganyiko wa mayai, mafuta au siagi na sukari.

  • 2

    aina ya malai ya kemikali au asili inayotumiwa kuwa ni kipodozi au dawa inayopakwa kwenye k.v. ngozi ya mtu.

Matamshi

krimu

/krimu/