Ufafanuzi wa krioli katika Kiswahili

krioli

nomino

  • 1

    lugha inayotokana na lugha mbili au zaidi ambayo hutumiwa na wazungumzaji kama lugha yao ya awali.

Asili

Kng

Matamshi

krioli

/kriOli/