Ufafanuzi wa Krismasi katika Kiswahili

Krismasi

nominoPlural Krismasi

  • 1

    siku ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Yesu Kristo.

    Noeli

Asili

Kng

Matamshi

Krismasi

/krismasi/