Ufafanuzi wa kubali katika Kiswahili

kubali

kitenzi elekezi

  • 1

    pokea wazo, wito au tendo.

    ungama, giniza, ridhika, kiri, afiki, ridhia

  • 2

    toa ruhusa.

    ruhusu

Asili

Kar