Ufafanuzi wa kubaliana katika Kiswahili

kubaliana

kitenzi sielekezi

  • 1

    fikia mapatano na mtu.

    afikiana

Asili

Kar

Matamshi

kubaliana

/kubalijana/