Ufafanuzi wa kucha katika Kiswahili

kucha

kielezi

  • 1

    usiku mzima; usiku wote.

    ‘Jana kulipigwa ngoma kucha’
    ‘Palikuwa na dansi usiku kucha’

Matamshi

kucha

/kut∫a/