Ufafanuzi msingi wa kudu katika Kiswahili

: kudu1kudu2kudu3

kudu1

nomino

  • 1

    kitu kitokacho kwa mwari kama faini ya kukosa adabu kwa nyakanga, kungwi au somo.

Asili

Kar

Matamshi

kudu

/kudu/

Ufafanuzi msingi wa kudu katika Kiswahili

: kudu1kudu2kudu3

kudu2

nomino

  • 1

    aina ya samaki wa jamii ya changu.

Matamshi

kudu

/kudu/

Ufafanuzi msingi wa kudu katika Kiswahili

: kudu1kudu2kudu3

kudu3

nomino

  • 1

    bunda la kamba ya mkonge.

Matamshi

kudu

/kudu/