Ufafanuzi wa Kufa kibudu katika Kiswahili

Kufa kibudu

msemo

  • 1

    kufa kwa mnyama, agh. anayeliwa, bila ya kuchinjwa; kufa kwa mtu bila ya kuacha mtoto.