Ufafanuzi wa kuhani katika Kiswahili

kuhani

nominoPlural makuhani

Kidini
  • 1

    Kidini
    kiongozi wa dini ya Uyahudi.

  • 2

    Kidini
    mganga wa ramli.

Matamshi

kuhani

/kuhani/