Ufafanuzi wa kuhusu katika Kiswahili

kuhusu

kihusishi

  • 1

    juu ya.

    ‘Mwalimu ameandika kitabu kuhusu albino’

Matamshi

kuhusu

/kuhusu/