Ufafanuzi wa kuke katika Kiswahili

kuke

nominoPlural kuke

  • 1

    takataka za bahari k.v. za majani, vijiti au mwani zilizoishia ufukweni.

Matamshi

kuke

/kukɛ/