Ufafanuzi wa kulia katika Kiswahili

kulia

kielezi

  • 1

    upande usiokuwepo moyo wa binadamu; kinyume cha kushoto.

    ‘Mkono wa kulia’
    ‘Pita kulia’
    kuume, kuvuli

Matamshi

kulia

/kulija/