Ufafanuzi wa kulihali katika Kiswahili

kulihali

kielezi

  • 1

    vyovyote vile; kwa kila namna au hali.

Asili

Kar

Matamshi

kulihali

/kulihali/