Ufafanuzi msingi wa kumbakumba katika Kiswahili

: kumbakumba1kumbakumba2

kumbakumba1

nomino

  • 1

    uchukuaji wa mchanganyiko wa vitu vya namna nyingi.

    uzoaji

Matamshi

kumbakumba

/kumbakumba/

Ufafanuzi msingi wa kumbakumba katika Kiswahili

: kumbakumba1kumbakumba2

kumbakumba2

nomino

  • 1

    jambo lenye kuathiri watu wengi.

    ‘Maradhi hayo ni kumbakumba’

Matamshi

kumbakumba

/kumbakumba/