Ufafanuzi wa kumbatia katika Kiswahili

kumbatia

kitenzi elekezi~ana, ~lia, ~ka, ~sha, ~wa

  • 1

    sogeza kifuani na kuzungushia mikono.

Matamshi

kumbatia

/kumbatija/