Ufafanuzi wa kumbo katika Kiswahili

kumbo

nominoPlural makumbo

  • 1

    utendaji au uchukuaji wa vitu au watu wengi kwa pamoja.

    ‘Walichukuliwa wote kumbo moja’

Matamshi

kumbo

/kumbO/