Ufafanuzi wa kumbusha katika Kiswahili

kumbusha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    ambia mtu afanye jambo ambalo huenda amelisahau; fanya mtu akumbuke.

    tanabahisha

Matamshi

kumbusha

/kumbuʃa/