Ufafanuzi msingi wa kumbwaya katika Kiswahili

: kumbwaya1kumbwaya2

kumbwaya1

nominoPlural kumbwaya

  • 1

    kuro

  • 2

    ngoma ichezwayo kwa kuzunguka duara kama mdurenge.

Matamshi

kumbwaya

/kumbwaja/

Ufafanuzi msingi wa kumbwaya katika Kiswahili

: kumbwaya1kumbwaya2

kumbwaya2

nominoPlural kumbwaya

  • 1

    vazi lisilokuwa na mikono na ambalo halikukaa vizuri mwilini.

Matamshi

kumbwaya

/kumbwaja/