Ufafanuzi wa kumi katika Kiswahili

kumi

nominoPlural kumi

  • 1

    namba ambayo idadi yake ni sawa na vidole vya binadamu wa kawaida vya mikono au miguu; tano na tano.

    ashara

Matamshi

kumi

/kumi/