Ufafanuzi wa kuna katika Kiswahili

kuna

kitenzi elekezi

  • 1

    kwangua au kwaruza kwa kucha.

  • 2

    kwangua au kwaruza kwa kutumia kitu chenye menomeno; kuna nazi.

Matamshi

kuna

/kuna/