Ufafanuzi wa kunazi katika Kiswahili

kunazi

nominoPlural kunazi

  • 1

    tunda dogo kama koni linaloliwa, agh. na watoto.

  • 2

    tunda la mkunazi.

Asili

Kaj

Matamshi

kunazi

/kunazi/