Ufafanuzi wa kundavi katika Kiswahili

kundavi

nominoPlural kundavi

  • 1

    shanga nyingi zilizotungwa pamoja na kuwa kama mkanda na huvaliwa kiunoni na wanawake.

Matamshi

kundavi

/kundavi/