Ufafanuzi wa kung’fu katika Kiswahili

kung’fu

nominoPlural kung’fu

  • 1

    mtindo wa upiganaji wenye asili ya Kichina unaofanana na karete ambapo mpiganaji hutumia mikono na miguu tu.

    ‘Sikuwa na silaha yoyote isipokuwa ujuzi wangu katika mambo ya kung’fu’

Asili

Kch

Matamshi

kung’fu

/ku4fu/