Ufafanuzi msingi wa kung’uta katika Kiswahili

: kung’uta1kung’uta2

kung’uta1

kitenzi sielekezi

 • 1

  ondoa vumbi au taka katika kitu kwa kukipigapiga kitu hicho kwa fimbo au kwa kukibamiza kwenye kitu kingine k.v. ukuta.

  ‘Kung’uta zulia’
  fufuta, bumuta, buta

 • 2

  toa maji kutoka kwenye kitu k.v. nguo, agh. baada ya kufuliwa, kwa kukipiga hewani.

  fufuta, kumta

Ufafanuzi msingi wa kung’uta katika Kiswahili

: kung’uta1kung’uta2

kung’uta2

nomino

Matamshi

kung’uta

/ku4uta/