Ufafanuzi wa kunga katika Kiswahili

kunga

nominoPlural kunga

  • 1

    mambo ya siri ambayo hayafai kusikika ovyoovyo.

    methali ‘Mambo ya nyumba kunga’

Matamshi

kunga

/kunga/