Ufafanuzi wa kungugu katika Kiswahili

kungugu

nomino

  • 1

    ukungu mzito; wingu kuu lililotanda.

Matamshi

kungugu

/kungugu/