Ufafanuzi wa kunguia katika Kiswahili

kunguia

nominoPlural kunguia

  • 1

    aina mojawapo ya ngoma za wanawake Waswahili.

Matamshi

kunguia

/kunguwija/