Ufafanuzi wa kunguma katika Kiswahili

kunguma

nominoPlural kunguma

  • 1

    tunda dogo linaloliwa lenye umbo la duara na rangi ya manjano hafifu.

Matamshi

kunguma

/kunguma/