Ufafanuzi wa kunguni katika Kiswahili

kunguni

nomino

  • 1

    mdudu mdogo anayefyonza damu, agh. hukaa kwenye vitanda.

Matamshi

kunguni

/kunguni/