Ufafanuzi msingi wa kuo katika Kiswahili

: kuo1kuo2kuo3

kuo1

nomino

Ufafanuzi msingi wa kuo katika Kiswahili

: kuo1kuo2kuo3

kuo2

nomino

  • 1

    mstari wa miche midogo.

Matamshi

kuo

/kuwO/

Ufafanuzi msingi wa kuo katika Kiswahili

: kuo1kuo2kuo3

kuo3

nomino

  • 1

    kipande cha shamba anachopewa mtu kulima.

    mraba, ngwe

Matamshi

kuo

/kuwO/