Ufafanuzi wa kupau katika Kiswahili

kupau

nomino

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    sehemu ya juu ya mlingoti ambayo hushikilia bendera.

Matamshi

kupau

/kupawu/