Ufafanuzi msingi wa kupia katika Kiswahili

: kupia1kupia2

kupia1

kitenzi elekezi~ana, ~lia, ~ka, ~sha, ~wa

  • 1

    finya jicho; chezesha kope ili kumfanyia mtu ishara.

    konyeza

Matamshi

kupia

/kupija/

Ufafanuzi msingi wa kupia katika Kiswahili

: kupia1kupia2

kupia2

kitenzi elekezi~ana, ~lia, ~ka, ~sha, ~wa

  • 1

    tingisha kichwa wakati wa kusinzia.

Matamshi

kupia

/kupija/