Ufafanuzi wa kuponi katika Kiswahili

kuponi

nominoPlural kuponi

  • 1

    tikiti, cheti au kipande cha karatasi kinachomwezesha aliyenacho kupokea kitu au kupata huduma fulani.

Asili

Kng

Matamshi

kuponi

/kupOni/