Ufafanuzi wa kusanya katika Kiswahili

kusanya

kitenzi elekezi

  • 1

    weka vitu au watu wengi mahali pamoja.

    kutanisha, konga

Matamshi

kusanya

/kusa3a/