Ufafanuzi wa kushoto katika Kiswahili

kushoto

kielezi

  • 1

    upande ulipo moyo wa binadamu; kinyume cha kulia.

Matamshi

kushoto

/kuʃɔtɔ/