Ufafanuzi wa kusi katika Kiswahili

kusi

nominoPlural kusi

  • 1

    wakati katika mwaka ambapo katika Afrika Mashariki upepo huvuma kutokea kusini, agh. kati ya mwezi wa Aprili na Oktoba.

    ‘Upepo wa kusi’

Matamshi

kusi

/kusi/