Ufafanuzi msingi wa kuti katika Kiswahili

: kuti1kuti2kuti3

kuti1

nominoPlural kuti, Plural makuti

 • 1

  sehemu ya mti jamii ya mnazi iliyotokeza kama tawi inayoshikiliwa na difu na ina chane zenye majani marefu.

  chanda

 • 2

  majani ya mnazi yaliyosukwa pamoja kwa namna fulani na hutumiwa kuezekea mapaa ya nyumba.

Ufafanuzi msingi wa kuti katika Kiswahili

: kuti1kuti2kuti3

kuti2

nominoPlural kuti, Plural makuti

kishairi

Ufafanuzi msingi wa kuti katika Kiswahili

: kuti1kuti2kuti3

kuti3

nominoPlural kuti, Plural makuti

 • 1

  mkebe wa umbo la mstatili utumikao kwa kuwekea baruti au mafusho.

Matamshi

kuti

/kuti/