Ufafanuzi wa kutu katika Kiswahili

kutu

nominoPlural kutu

  • 1

    utando mwekundu unaotokea juu ya chuma kikipata maji.

    ‘Chuma kimepata/kimeshika kutu’

Matamshi

kutu

/kutu/