Ufafanuzi wa kututu katika Kiswahili

kututu

kielezi

  • 1

    kwa mwendo wa polepole na kurukaruka.

Matamshi

kututu

/kututu/