Ufafanuzi msingi wa kutwa katika Kiswahili

: kutwa1kutwa2

kutwa1

nominoPlural kutwa

  • 1

    kipindi cha mchana wote kati ya alfajiri na magharibi; kipindi kati ya usiku kumalizika na kuanza tena; mchana mzima mpaka magharibi au mpaka jua kutua.

Matamshi

kutwa

/kutwa/

Ufafanuzi msingi wa kutwa katika Kiswahili

: kutwa1kutwa2

kutwa2

kitenzi sielekezi

Matamshi

kutwa

/kutwa/