Ufafanuzi wa kuukeni katika Kiswahili

kuukeni

kielezi

  • 1

    upande wa ukoo wa mama.

Matamshi

kuukeni

/ku:kɛni/