Ufafanuzi wa kuvu katika Kiswahili

kuvu

nomino

  • 1

    uyoga uotao k.v. ndani ya nazi au muhogo ambao haukupata jua.

    ukungu

Matamshi

kuvu

/kuvu/