Ufafanuzi wa kuwa katika njiapandapanda katika Kiswahili

kuwa katika njiapandapanda

msemo

  • 1

    kuwa katika hali ya kuhitaji kufanya uamuzi wa kuteua jambo moja kati ya mawili.